Mwanzo
Vyote kwa mara moja, myaka mbeleni,
Kijana niliye kuwa ali geuka mwanamme mzima:
Kwa gafla maisha yangu yali anza!
Nika i ona dunia mbele yangu— Hata
Mlimaji yule asimamae na farasi zake kando
Akikata jasho kwa kirauni cha mlima wa kwanza,
Akiwa ame acha nchi za mito
Zinazo zingatiwa kwenye bonde chini hapa
Na ana ona upande wa mlima kwa ku lima,
Mawe uchi kwa ku gutua gao lake,
Radi juu angani ikisimama tete,
Na chongo nyeusi, tupu, juu yake
Iki njojeleya pale.
—Kama aki thubutu mwacheni ailime!